- Kila nabii ana zama zake siyo siri ni zamu ya DIAMOND PLANTINUM kiukweli unatisha kwa jinsi ulivyo funika katika show yako ya tarehe 29/4/2012 baada ya kuamua kushwa na helikopita ndani ya uwanja wa Taifa wa burudani DAR LIVE Mbagala.
- Naamini Dimond ni msanii wa kwanza Tanzania kufanya show kama hii keep it up nakutakia mafanikio makubwa katika
No comments:
Post a Comment