WANAFUNZI WA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE WAENDA TOUR BAGAMOYO
Kushoto ni baadhi ya wanafunzi wa Dar es salaam city college wa kiwa eneo la maonyesho ya kaole Bagamoyo na wamesimama wakiangalia kaburi la wapendanao
Chuo cha uandishi wa habari na utawala Dar es salaam city college kilikuwa na safari ya study tour kuanzi tarehe 20/07/2012 hadi tareha 22/07/2012 maeneo ya Bagamoyo tour hii iliwahusisha wanafunzi wa intake zote ngazi cheti na stashahada chuo hapo pia kozi zote.
Akifunguka waziri wa habari na mawasiliano wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo (DACICOSTUA) Jackson P.John (pajo) alisema kuwa study tour imeenda vizuri sana ila kuna mapungufu yalionekana kidogo upande wa pesa na mengine ni mapungufu ya kawaida ya yasiyo epukika kama changamoto "nawashukuru wanafunzi wenzangu kwa ushikiano tulivyo kuwa tour na walimu kwa ushikiano wao wa hali na mali kwetu wanafunzi"
SPORTS BOX
Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.
No comments:
Post a Comment