HIVI NDIVYO ROMA KAWAJIBU FANS WAKE KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK

R.O.M.A
December 28, 2012
LEO NITAKUWA KWENYE BAADHI YA MEDIA STATION NIKI INTRODUCE WIMBO MPYA TOKA TONGWE WA R.O.M.A(2030)!!
KISHA KILA MTU ATAKUWA AMESHAIPATA
so leo mchana saa tisa nitakuwa clouds f.m
na leo usiku nitakuwa friday night live pale E.A.T.V
tutataarifiana na kwingine!!! Thanx

HIYO NDIYO STATUS NILIYOIWEKA SIKU YA IJUMAA...ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KUINGIA MWAKA MPYA 2013!!!

NA KWAKUWA NILIWEKA UTARATIBU WA KUTOIPATA NGOMA YA 2030 KWA URAHISI!! ILIKUWA HADI ULIPIE 3000!!

HIYO ILIPELEKEA WATU WENGI KUSHINDWA KUIPATA MAPEMA...WENGINE PIA ILIPITA JANUARY NZIMA HAWANA HIYO NGOMA AU WAMEISIKIA MARA CHACHE AU KWA UFUPI(VERSE MOJA)!!

NA HILO NDIYO LILIKUWA LENGO LA ROMA!!!

So obviously ina-imply kuwa 2030 imetoka january 2013 kwa makadirio ya juu!! kwasababu tu imetoka december mwishoni!!

siku tatu before mwaka mpya!!!

TAKE IT EASY PARTNAZ......kuna vingi nyuma ya pazia la huu mziki wetu!!
so sometimes inabidi tupite ama tutumie njia nyingine za kuendesha huu mziki wetu!!

la sivyo...NDIYO YANAKUWA YALEYALE YA BABA JENI BAIBAI!! AU UNGA UNGA MWANA NJOO TUDENSI KAMA MWANANGU JEBI!!!

NADHANI NIMESHAJIBU SWALI LENU MARAFIKI!!!

UPENDO WENU KWANGU UDUMU MILELE..NA MUNGU AWAONGEZEE PALE MLIPOPUNGUKIWA!!

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: