![]() |
| Haya Ni Matukio Ya Kusikitisha |
Mwanamke
mmoja anayejulikana kwa jina la Winfrida Simon amenyongwa na mpenzi
wake anayejulikana kwa jina la Juma Marwa katika eneo la Bugarikwa
lililopo nje kidogo la jiji la Mwanza.
Mwanaume huyo alitoweka baada ya kufanya kitendo hicho na jeshi la polisi hivi sasa linamsaka kutokana na mauaji hayo.

No comments:
Post a Comment