Nakaaya Najilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA

Nakaaya: Najilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA

Nakaaya Sumari


Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Nakaaya Sumari ameomba radhi watanzania na wanachama wa CHADEMA kwa kurudisha kadi ya CHADEMA na kuchukua ya CCM.

Anaomba Watanzania wajue yeye ni binadam na anafanya Makosa na hamuezi jua ni kwa namna gani anateseka sana .

Anasema hajawahi kulizungumza hili lakini amelisema na anajuta sana.

Nakaya anategemea Kupata mtoto na Kwa kuipenda Tanzania anasema mtoto wake atapewa jina la kiasili ya usukumani .

Mungu akujalie na Watanzania Wamekusikia. Kweli bhana........huyu dada nahisi ni mfano hai wa mtu aliepishana na gari la mshahara maana kipindi hicho wabunge wa viti maalum CHADEMA walikuwa wanatafutwa sana hadi akina rachel mashishanga wakala maisha, nahisi km angekuwepo sasa hv angekuwa pale mjengoni km mbunge viti maalum CHADEMA, ilikuwa ni lazima kwa ajili ya kuwavutia vijana na wsanii wa kwa ujumla wake.............kweli pole yake!!!!

Akiwa anahojiwa katika kipindi cha XXL Clouds FM, msanii aliyetamba kwa nyimbo ya Mr. Politician na kujikita kwenye siasa akianzia chama cha demoklasia na maendeleo (CHADEMA) na kisha kurudisha kadi ya chama na kuhamia chama cha mapinduzi (CCM) amesema kuwa ameachana na siasa na kujikita katika muziki na kukili kuwa japokuwa hahitaji tena kuitumikia siasa, kosa kubwa ambalo amelifanya katika harakati zake ni kurudisha kadi ya CHADEMA kwani CCM walifanya aache kabisa siasa.

Pia amekanusha vikali kwamba alienda CCM kwa ushawishi wa pesa

Source
Cloudz fn (XXL)

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: