kwani anaogopa kuharibu dira nzima ya maisha yake.
Akichezesha taya na paparazi wetu juzikati,
Linex alisema kwa sasa yeye na mchumba wake Mzungu aitwaye Suvi Rikka
bado wanasomana na kila mmoja akisharidhika na tabia ya mwenzake ndipo
suala la ndoa litafuata.
“Mimi sitaki kuoa kwa fasheni eti kwa
kumfuata mtu f’lani na sitaki kufunga ndoa leo halafu kesho imevunjika,
nataka mimi na mke wangu tuishi milele,” alisema Linex.
No comments:
Post a Comment