Msanii wa Hip Hop Farid Kubanda FID Q ambaye mwaka aliondoka na tuzo mbili za Kili ya msanii bora wa hip hop na mtunzi bora wa hiphop, amefunguka kuwa Bongo hiphop imepotea na ana mpango wa kuwafundisha wasanii, Fid Q ametaja tuzo alizowahi kushinda na kumbe mpaka kuna baadhi ya wanasiasa walimpongeza kwa ushindi huo, na kwamba kama asingeshinda tuzo hizo mwaka huu basi hizo tuzo zisingekuwa za ukweli.
“Kama Nisingeshinda Tuzo Za Kili Mwaka Huu, Basi Hizi Tuzo Zisingekua Za Ukweli”….Fid Q
Msanii wa Hip Hop Farid Kubanda FID Q ambaye mwaka aliondoka na tuzo mbili za Kili ya msanii bora wa hip hop na mtunzi bora wa hiphop, amefunguka kuwa Bongo hiphop imepotea na ana mpango wa kuwafundisha wasanii, Fid Q ametaja tuzo alizowahi kushinda na kumbe mpaka kuna baadhi ya wanasiasa walimpongeza kwa ushindi huo, na kwamba kama asingeshinda tuzo hizo mwaka huu basi hizo tuzo zisingekuwa za ukweli.
Popular Posts
-
Listen to Stamina ft Rich Mavoko -Najuta Kubalehe on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
No comments:
Post a Comment