BALOTELLI AJIANDAA KUIKABILI EVERTON JUMAMOSI

Mario Balotelli ametoa onyo kiana kwa Everton baada ya kufanya mazoezi makali ya mikwaju ya mipira iliyokufa.


Liverpool wanawavaa Evertob jatika mechi maarudu kama “Merseyside” itakayopigwa kesho Jumamosi.
Balotelli chini ya Kocha Brendan Rodgers alitumia muda mwingi akifanya mazoezi ya kupiga mikwaju ya adhabu katika mazoezi ya jana Alhamisi.
Inaonekana Liverpool wanajiandaa zaidi iwapo itatokea wakapata mikwaju ya adhabu nje kidogo ya lango la Everton.
Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote mbili ambao wengi wao wamekuwa ni ndugu na marafiki.

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: