
kocha Arsene Wenger wa Arsenal amesema beki Mathieu Debuchy’s hatocheza kwa miezi 6, kwa kusumbuliwa na enka ya mguu.
beki huyo aliumia wiki iliyopita katika mchezo wao na Manchester City mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2, katika uwanja wa emirates.
No comments:
Post a Comment