PAMBANO LA YANGA VS SIMBA KUPIGWA OKTOBA 18

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa marekebisho ya ratiba ya Ligi Kuu Bara na sasa Yanga na Simba watakipiga Oktoba 18.

Awali mechi hiyo ilikuwa ipigwe Agosti 12, lakini TFF ikatangaza kuifuta ili kuipisha mechi ya kimataifa ya kirafiki wakati Taifa Stars ikiivaa Benin.
Jana usiku, ujumbe wa TFF ulikutana na ule wa Bodi ya Ligi na kulipitisha hilo.
Maana yake wiki hiyo imesogea mbele kwa wiki moja tu kutoka Oktoba 12.

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: