MCHEZAJI WA ZAMANI WA MAN UNITED DARRON GBSON ALEWA NA KUMGONGA MUENDESHA BAISKELI

Huyu jamaa inaonekana likizo haikumtosha kunywa gambe hadi kuridhika, kiasi kwamba hadi ligi imeanza bado anaendelea kupiga tungi hadi asubui saa 3 ndio anarudi kwake akiwa chakali na gari lake.
Akiwa njiani na speed zake akamgonga muendesha baskeli na akili za pombe zikamwambia kimbia bado asubui hawezi kukuona mtu. Wakati anakimbia akaingia kwenye kituo cha kuweka mafuta na kutoka nje ya gari.
mchezaji wa zamani wa Manchester united Darron Gibson ambae hivi sasa anachezea club ya Everton ndie alifanya hicho kitendo.
Hivi sasa ameshafunguliwa mashtaka na kesi yake itasomwa tarehe moja mwezi wa 9 mwaka huu. polisi walimfuatilia na kumjua kumbe ni 
Darron Gibson

Darron akiwa ndani ya mkoko wake

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: