MLINDA MLANGO WA MARSH ACADAMY AMEFARIKI DUNIA

Kipa wa kikosi cha Marsh Academy amefariki dunia akiwa uwanjani.

Taarifa, zinaeeleza, Sylvetsre Laang maaurufu kama Chura amefariki dunia baada ya kukanyagwa akiwa uwanjani.

“Kweli Chura amefariki baada ya kukanyagwa na fowadi wakati wakiwania mpira. Lakini amefia kwao Mahenge na taarifa zimeletwa Mwanza,” alieleza Thomas aliyedai ni mmoja wa wahusika wa Academy iliyokuwa na marehemu Marsh.

“Alikuwa amekwenda kwao Mahenge kwa mapumziko, huko ndiko matatizo yalipomkuta,” alisisitiza.

TUNAENDELEA KUFUATILIA TAARIFA ZAIDI TUTAKUJULISHA
BAADHI YA WACHEZAJI WA KITUO CHA MARSH ACADEMY

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: