Alexandre Pato huyooo Chelsea

Mshambuliaji Alexandre Pato yuko jijini London, England kumalizia mazungumzo kabla ya kujiunga na Chelsea.

Raia huyo wa Brazil aliyewahi kung’ara akiwa na AC Milan ya ITALIA ametua jijini London na kupokelewa na marisa wa Chelsea.
 
Pato ambaye sasa anaitumikia Sao Paulo ya kwao Brazil ataungana na kikosi cha Chelsea kama mambo yote yataenda safi usiku huu.

Taarifa zinaeleza kwamba Chelsea iko tayari kumrejesha Mbrazili huyo Ulaya kwa kitita cha pauni milioni 7.
 
SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: