klabu ya Newcastle united jmemsajili mwingereza Andros Townsend kutoka Tottenham kwa ada ya pauni 12m .
Townsend mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano katika klabu hiyo.Townsend amecheza mechi tatu tu katika Ligi Kuu msimu huu akitokea benchi na amecheza mechi moja katika michuano ya Europa League mwezi Novemba hii ni baada ya kuwa na ugomvi na kocha Nathan Gardiner.

No comments:
Post a Comment