BILL GATES ATUA EVERTON



Tajiri mamba moja duniani, Bill Gates leo alitembelea katika mazoezi ya kikosi cha Everton kinachoshiriki Ligi Kuu England.

Gates aria wa Marekani na tajiri mamba mona duniani alifanya ziara katika mazoezi hayo ya Everton katika kuitangaza program ya Sport Relief.

Tajiri huyo mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79 au pauni bilioni 55.5 aliongozana na Cansela wa George Osborne.


Bill Gates akiwana baadhi ya wachezaji wa Everton pamoja na kocha wa timu hiyo

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: