![]() |
| Drogba |
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba: hatorudi
kujiunga na timu hiyo badala yake ataendelea kubaki ktk klabu ya Montreal Impact.
Drogba ataendelea kuichezea ligi kuu ya
marekani Major League Soccer, maarufu
kama MLS akiwa na klabu yake ya
Montreal Impact,
Montreal ilitangaza kuwa Drogba ataungana
na timu hiyo katika pre-season training huku nchini Qatar.
Drogba mwenye umri wa miaka 37, alitweete
kwenye accaunt yake ya tweeter "On
way to Qatar to do some preparation work for pre-season."
Taarifa za mwezi desemba zilienea
kuwa klabu ya Chelsea itamsajili Drogba kuwa kusaidia katika benchi la ufundi
kama kocha.
Ratiba ya montreal impact itakavyo anza
ligi kuu England MLS
|
Mon
|
07/03/16
|
|||||
|
Sat
|
12/03/16
|
|||||
|
Sun
|
20/03/16
|
|||||
|
Sun
|
03/04/16
|
|||||
|
Sat
|
09/04/16
|

No comments:
Post a Comment