JURGEN KLOPP ALIJIFICHA KUZITAZAMA PENALT ZA LIVERPOOL



Kocha wa Liverpool  Jurgen Klopp amesema hakutaka kuangalia mkwaju wowote wa penati dhidi ya Stoke City zilizo pigwa katika uwanja wa  Wembley  katika nusu fainali ya kombe la Capital One, hii ni mara ya kwanza mjerumani huyo kuwania kombe toka afike anfield.
 wekundu hao walishinda kwa jumla ya penalt 6-5 dhidi ya stoke city waliopata ushindi wa bao  1-0 katika dakika 120 na kuzifanya timu hizo kuwa na sare ya bao 1-1, baada ya Liverpool kushinda mchezo wa kwanza goli 1-0.
Klopp alisema : "si kuangalia penalt  nilikuwa nimejificha nyuma ya wachezaji waliokuwa wakipiga penalt  kwahiyo nitaangalia kwenye television nyumbani ingawa inapendeza kuangalia pamoja kwenye umati wa watu.
Liverpool itakutana na Manchester City au ndugu zao  Everton katika fainali itakayochezwa February 28, na  Klopp amesema: "ni muhimu sana. Kuwaangalia wachezaji wangu wa kipambana katika fainal ya kombe la capital one”  
"kwa sasa nitaungalia mchezo kati ya Everton  na Manchester City, Wembley ni sehemu tulivu kwa kuchezea mpira lakini lakini tutaenda pale kushinda  

Jurgen klopp

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: