![]() |
| LUIS VAN GAAL |
kocha wa
manchester united louis van gaal agoma kubwaga manyanga mwishoni mwa wiki hii kama
ilivyo ripotiwa hapo awali.
van gaal, mwenye umri wa miaka 64,
amesema alimwambia mtendaji makamu mwenyekiti ed woodward yeye atakuwa tayari kuacha kazi kufuatiakipigo cha jumamosi
caha bao 1-0 dhidi ya southampton. kocha van gaal amefanya mazoezi na klabu ya manchester united leo jumanne kujiandaa na mchezo wa kombe la chama mzunguko wa nne siku ya ijumaa dhidi ya derby county.
mpaka sasa viongozi wa klabu ya machester united bado haijaweka wazi kulijadili swala la kocha lui van gaal.

No comments:
Post a Comment