Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Mwenyekiti wa Chama cha
Mpira wa Miguu mkoa wa Simiyu, Epaphra Swai amefariki dunia leo asubuhi
katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
TFF itawajulisha mipango ya msiba na
mazishi ya marehemu Epaphra Swai baada ya kukaa na familia ya marehemu
na kupanga utaraibu huo.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
source sport in bongo
Popular Posts
-
Listen to Stamina ft Rich Mavoko -Najuta Kubalehe on Hulkshare - Free Music Streaming & Download

No comments:
Post a Comment