PATO tayari rasmi chelsea

January 29 klabu ya Chelsea ilikamilisha hamisho wa mkopo wa mshambuliaji wa kibrazil kutoka klabu ya Corinthians aliyewahi kutamba na klabu ya AC Milan ya Italia.

Pato amejiunga na Chelsea kwa mkataba wa mkopo hadi mwisho wa msimu huu lakini kukiwa na kipengele cha kusajiliwa moja kwa moja kwa ada ya pauni milioni 7.


Ujio wa Pato kwenye kikosi cha Chelsea unaongeza ushindani wa washambuliaji kwenye kikosi hicho wakiongezwa na Diego Costa. Lakini uwepo wa Pato kwenye kikosi cha The Blues utasababisha mshambuliaji mmoja kati ya  Loic Remy au Radamel Falcao atafute mahali pa kwenda.
Hizi hapa ni takwimu za Alexandre Pato katika maisha yake yote ya soka kwenye vilabu vyote ambavyo amaewahi kuvichezea.
Tazama rekodi zake hapa chini

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: