Mgogoro kati ya Lady JayDee a.k.a Anaconda na uongozi wa Clouds Media
Group bado ni issue, mengi yameshazungumzwa lakini kuna tweet moja
ambayo mh. Zitto Kabwe ameona inafaa zaidi kuleta mabadiliko katika
mzozo huo.
Zitto aliirudia Tweet ya Absalom Kibanda ya May 5 iliyosemeka.
“An Iron Lady! Turn back and forgive. There’s power behind forgiveness”
Lady JayDee nae akamjibu:
@absakibanda Nakuelewa sana brother
Tweet ya Absalom ilimvutia zaidi Zitto Kabwe ambae aliandika:
“This
tweet will surely bring peace. Watch “@absakibanda: @JideJaydee An Iron
Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”
Na akasisitiza zaidi na kusema hili ni neno la Busara:
“+1
in these words of deep wisdom “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady!
Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”
Popular Posts
-
Drogba Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba: hatorudi kujiunga na timu hiyo badala yake ataendelea kubaki ktk klabu ya ...
-
Tajiri mamba moja duniani, Bill Gates leo alitembelea katika mazoezi ya kikosi cha Everton kinachoshiriki Ligi Kuu England. Gates a...
-
Stephan El shaarawy Mshambuliaji nguli wa AC Milan Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingin...
-
Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee...
-
Arusha. Chadema kimethibitisha umwamba wake katika siasa za Jimbo la Arusha Mjini, baada ya kutetea kwa kishindo kata zake nne kwenye ...
-
Ramires Kiungo wa Chelsea Ramires yuko mbioni kujiunga na klabu ya China inayofamika kwa jina la Jiangsu Suning. Ramires, 28, ali...
-
Listen to Stamina ft Rich Mavoko -Najuta Kubalehe on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
-
Klabu ya Real Madrid imekubali kumsajili kiungo Mateo Kovačić kutoka klabu ya Inter Milan ya Italia kwa dau la pauni milioni 21. Mateo mwe...

No comments:
Post a Comment