RUNINGA YA AZAM KUONESHA LIGI KUU HISPANIA

Runinga ya Azam TV leo inazindua rasmi kuhusiana na uonyesha wa Ligi maarufu ya Hispania ya La Liga.


Leo ndiyo unafanyika uzinduzi rasmi baada ya Azam TV kukabidhiwa haki za kuonyesha La Liga ambayo ndiyo ligi inaonekana kuwa na mafanikio makubwa zaidi katika kipindi cha miaka mitano sasa.

Mfano msimu huu, La Liga ndiyo imetoa wanamichezo bora wa dunia mfululizo kuliko nyingine yoyote. Pia sasa mabingwa wote wa Ulaya wanatokea La Liga.


Hivyo wenye ving’amuzi vya Azam TV watapata nafasi ya kushuhudia moja kwa moja, pia marudio ya mechi hizo za La Liga.

SPORTS BOX

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: