LUIS SUAREZ KURUDI LIVERPOOL
Mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez amezungumzia uwezekano wa yeye kurudi nchini England na kuichezea klabu yake ya zamani ya Liverpool, huku akisema kuwa ndio klabu pekee anayoweza kurudi England kwa ajili yake.
Suarez ambaye aliichezea Liverpool kwa kipindi cha miaka 2 na nusu kabla ya kusajiliwa na Barcelona ya nchini Hispania ameiambia ESPN kuwa kila mchezaji ambaye alipata kuichezea Liverpool anajua umuhimu wa mashabiki wa Liverpool Anfield.
Suarez anasema kuwa mashabiki wa Liverpool ni wa pekee zaidi duniani, na kwamba anawakumbuka kila wakati kitu kinachomfanya awe na ndoto za siku moja kurudi tena Merseyside kufurahia tena maisha na mashabiki hao.
Mchezaji huyo wa zamani wa Ajax alijiunga Liverpool mwaka 2011 kwa ada ya uamisho wa pauni 22m na katika kipindi cha miaka 2 na nusu aliifungia Liverpool magoli 94 kabla ya kusajiliwa na Barcelona kwa dau kubwa la pauni 75m.
SOURCE SHAFII DAUDA
Popular Posts
-
Drogba Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba: hatorudi kujiunga na timu hiyo badala yake ataendelea kubaki ktk klabu ya ...
-
Tajiri mamba moja duniani, Bill Gates leo alitembelea katika mazoezi ya kikosi cha Everton kinachoshiriki Ligi Kuu England. Gates a...
-
Stephan El shaarawy Mshambuliaji nguli wa AC Milan Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingin...
-
Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee...
-
Arusha. Chadema kimethibitisha umwamba wake katika siasa za Jimbo la Arusha Mjini, baada ya kutetea kwa kishindo kata zake nne kwenye ...
-
Ramires Kiungo wa Chelsea Ramires yuko mbioni kujiunga na klabu ya China inayofamika kwa jina la Jiangsu Suning. Ramires, 28, ali...
-
Listen to Stamina ft Rich Mavoko -Najuta Kubalehe on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
-
Klabu ya Real Madrid imekubali kumsajili kiungo Mateo Kovačić kutoka klabu ya Inter Milan ya Italia kwa dau la pauni milioni 21. Mateo mwe...

No comments:
Post a Comment