Star wa Barcelona Lionel
amethibitisha yeye ni mchezaji mwenye
mashabiki wengi duniani baada ya shabiki mmoja kufanya tukio la aina kusupport
kipaji cha nyota huyo kwa kuchora tattoo ya picha ya messi mgongoni kwake
ambayo haiwezi kufutika pasipo kujali.
Shabiki mmoja
alisubiri kukutana na star huyo wa Barcelona ili ausaini mgongoni wake aliokuwa
ameuchora tattoo ya messi before revealing the extreme lengths he was going to
for a unique piece of Messi memorabilia.
Bingwa huyo wa tuzo
tano za mchezaji bora wa dunia (Ballon d'Or) alikuwa na furaha kuusaini mgongo
wa shabiki wake uliokuwa umechorwa tattoo ya kudumu ambayo haitofutika.
Messi amekutana na
shaki yake mkubwa alipoenda sehemu ya mapokezi ya hotel alipokuwa amefikia kwa
wakati huo.
Picha za tattoo hizo
za shabiki wa Messi zilikuwa zimechorwa zikimuonyesha messi akishangilia goli
msimu wa mwaka 2012-13.
Messi mwenye
mafanikio makubwa katika mchezo wa soka ameisaidia klabu yake ya Barcelona kushinda
mataji mbalimbali li likiwemo kombe la mfalme Copa del Rey mwaka 2012 na 2015.
Messi pia ameisaidia Barca kushinda kombe la Hispania mwaka 2009, mbali na ushindi huo ameiwezesha timu
yake ya barca kushinda mataji saba ya La Liga , na mataji manne ya uefa
Champions League



No comments:
Post a Comment